GET /api/v0.1/hansard/entries/1230353/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1230353,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230353/?format=api",
"text_counter": 372,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": "Jambo la muhimu ni kuhakikisha kuwa Mamlaka hii imeboresha hali ya wavuvi katika sehemu zote, iwe Ziwa Victoria au kwingine kote kule. Wavuvi wengi waliondolewa katika sehemu ambazo walikuwa wanavua kule Ziwa Victoria. Hivi sasa, wako mahali panaitwa Dunga Beach . Jambo la muhimu ni kuhakikisha kuwa marketing ienezwe nje ya Kisumu ili wauze samaki katika sehemu nyingine na wapate pesa zao."
}