GET /api/v0.1/hansard/entries/1230600/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1230600,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230600/?format=api",
"text_counter": 185,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Ruweida Mohamed (",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Lamu East, JP): Asante sana Bwana Spika, kwa kunipatia nafasi hii ili niweze kumwuliza Waziri swali: Ako na mpango gani na wakaazi wanaoishi mbali ambao hawana maofisa wala ofisi? Inamgharimu mtu anayeishi Kiunga Ksh4,000. Kutoka Ishakani hadi Kiunga ni Ksh300 na hadi Mikokoni ndiyo apande boat ni Ksh700. Akipanda"
}