GET /api/v0.1/hansard/entries/1230602/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1230602,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230602/?format=api",
"text_counter": 187,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Ruweida Mohamed (",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "ya miraa kutoka Mikokoni kufika Mokowe ambapo kuna ofisi ni Ksh3,000. Kuenda anatumia Ksh4,000 na kurudi ni Ksh4,000. Wanatumia Ksh8,000 kutafuta birth certificate. Sehemu kama hizo ambazo hazina ofisi, ana mipango gani nazo? Mpaka watu waende maeneo Bunge mengine ndipo wapate hii huduma. Asante."
}