GET /api/v0.1/hansard/entries/1230948/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1230948,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230948/?format=api",
"text_counter": 76,
"type": "speech",
"speaker_name": "Malindi, ODM",
"speaker_title": "Hon. Amina Mnyazi",
"speaker": null,
"content": "Ukiritimba ama monopoly umekuwa ni donda sugu katika maswala ya stima hapa Kenya. Ufisadi na ukiritimba ndizo zimedunisha maswala ya stima hapa nchini. Tukiendelea na ukiritimba na tusipoangalia jinsi ama namna nyingine ya kupata stima, watu wetu bado"
}