GET /api/v0.1/hansard/entries/1230950/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1230950,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230950/?format=api",
"text_counter": 78,
"type": "speech",
"speaker_name": "Malindi, ODM",
"speaker_title": "Hon. Amina Mnyazi",
"speaker": null,
"content": "watateseka. Ufisadi si jambo ambalo tunaweza tukalisahau kwa sababu kuna watu ambao waliitisha transformers miaka miwili iliyopita kule Malindi na bado hawajazipata. Ili upate hizo transformers kutoka KP ndio wananchi waweze kuzitumia, ni lazima uwe unawajua watu au uwahonge maafisa wao. Jambo hili ni ngumu kwa sababu wananchi wanalipa ushuru na wanahitaji umeme ili waweze kukidhi mahitaji ya maisha yao."
}