GET /api/v0.1/hansard/entries/1231570/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1231570,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1231570/?format=api",
    "text_counter": 424,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika wa Muda, naona kuna mkutano mwingine unaendelea kule. Vifaa vinahitajika kwa sababu sehemu nyingi, bado huduma za afya zinadorora. Bw. Spika wa Muda, vile vile, hatujaona chochote kilichotolewa kuhusiana na"
}