GET /api/v0.1/hansard/entries/1231572/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1231572,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1231572/?format=api",
"text_counter": 426,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kwa hospitali zile za Level 5, kule maeneo yetu. Kwa mfano, Hospitali Kuu ya Mombasa inahudumia kaunti sita – Mombasa, Kwale, Kilifi, Taita, Tana River na Lamu. Hospitali kama ile haiwezi kufadhiliwa na serikali ya Kaunti ya Mombasa peke yake. Huduma zitadorora na mambo mengi yatakosekana katika hospitali ile iwapo zile"
}