GET /api/v0.1/hansard/entries/1231576/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1231576,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1231576/?format=api",
"text_counter": 430,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "au Kenyatta University Teaching, Referral andResearch Hospital(KUTRRH) maeneo ya Kiambu, zinapata ufadhili mkubwa kutoka kwa Serikali Kuu. Kiasi ambacho kinaenda hospitali kama Coast General na Jaramogi Oginga Odinga Teaching and Referral Hospital kule Kisumu ni kidogo sana ikilinganishwa na zile pesa zinakwenda katika hospitali tatu kuu za kitaifa. Ipo haja ya hizi pesa zilizokuwa zinatolewa kwa maswala ya kuimarisha huduma katika Level 5 Hospitals ziendelee kutolewa ili huduma katika hospitali ziwache kudorora."
}