GET /api/v0.1/hansard/entries/1231602/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1231602,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1231602/?format=api",
    "text_counter": 456,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "hakuitwa hapa ili atujulishe kama pesa zinatumika vile zinavyofaa au la? Je, zile kaunti zinazotumia fedha vibaya, katika ugavi wa pesa unaofuata, bado wanafaa kupewa pesa bila kuulizwa maswali na kujibu vile inavyofaa? Kuna pepo wengine hawahitaji maombi. Wengine wanataka vita, wengine washughulikiwe vilivyo. Bw. Spika wa Muda, kwa hayo, sitaongea mengi. Ninaunga mkono kwa sababu ninajua hatuwezi kugawa hewa. Ni mpaka tugawe zile tulizo nazo. Ninaunga mkono"
}