GET /api/v0.1/hansard/entries/1231807/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1231807,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1231807/?format=api",
"text_counter": 196,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bw. Spika, kwa heshima na taadhima ya hili Bunge la Seneti, hata ndugu yangu Sen. (Dr.) Khalwale ambaye ninamheshimu sana, anaweza kutanguliza hili swala. Tukimwangalia ndugu yetu, Sen. Methu, ni kijana shupavu, mdogo, pia ni Seneta katika Bunge hili na anaelewa sana jinsi tunatakikana kuvaa tukiwa ndani ya Bunge. Tukimwangalia ndugu yetu, Sen. Methu, amevaa kwa njia ambayo haina heshima, ya kushusha hadhi ya Seneti na haikubaliki kwa mtu ambaye anaiga wale wakubwa wake walio ndani ya Bunge hili la Seneti. Ukiangalia vile Sen. (Dr.) Khalwale alivyovaa na vile wale waheshimiwa wengine,"
}