GET /api/v0.1/hansard/entries/1231809/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1231809,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1231809/?format=api",
"text_counter": 198,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "walio kule kama Sen. Mungatana MGH na yule ndugu yangu ambaye yuko pale, na zote pia upande huu, ukituangalia vile tulivyovaa, tuko kwa hali ya kwamba tuna heshima ndani ya Bunge. Vile alivyo vaa ndugu yangu, Sen. Methu amevaa kwa njia ambayo haina heshima na ya kushusha hadhi ya Seneti. Bw.Spika, naomba umchukulie hatua unayofikiria kwa sababu ile nguo aliyovaa sio haki."
}