GET /api/v0.1/hansard/entries/1231882/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1231882,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1231882/?format=api",
    "text_counter": 271,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Spika. Ningependa kumrekebisha Sen. Orwoba. Nimesoma na nikasema tumezitendea kazi lakini kuna zingine ambazo zinaendelea. Hizo Kauli mbili ambazo amezungumzia ziko njiani. Tutakuwa na kikao tarehe nne na hao washikadau ambao aliwataja katika Kauli yake, ili tupate majibu yao ndio tuje tujieleze zaidi. Na---"
}