GET /api/v0.1/hansard/entries/1232177/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1232177,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1232177/?format=api",
"text_counter": 62,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "alitaka kunipinga nisiulize kuhusu macadamia na hivyo si vizuri. Ikiwa wewe ni Mwenyekiti au Naibu Mwenyekiti, unafaa kujua kuwa kuna mambo yanayoathiri watu wa kaunti na mengine ni ya Kenya kwa jumla. Kwa hivyo, ninaunga mkono aliyeuliza maswali hata kama yanaelekezwa kwa Mwenyekiti. Hatufai kukatazwa kuuliza maswali. Maseneta wanafaa kuwa na uhuru wa kuuliza maswali ili tuweze kufanya kazi nzuri."
}