GET /api/v0.1/hansard/entries/1232623/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1232623,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1232623/?format=api",
    "text_counter": 44,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii niweze kuchangia ombi kuhusu barabara zetu. Kwanza nimetoneshwa kidonda kwa sababu tulipoteza uhai wa vijana 19 wa Chuo Kikuu cha Pwani. Na imekuwa ni desturi kuwa ajali zinapotokea"
}