GET /api/v0.1/hansard/entries/1232627/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1232627,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1232627/?format=api",
    "text_counter": 48,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "katika steji za mitaani. Kitendo hiki cha kumpa kijana ambaye hana ujuzi wa kuendesha boda boda kinahatarisha maisha yake na ya abiria anayembeba. Kwa hivyo, ningeomba kuwe na crackdown ambayo itawezesha kuhakikisha kwamba wale waendeshaji wa boda boda wana leseni ya kuweza kuwapeleka Wakenya katika taifa hili. Asante, Bw. Spika."
}