GET /api/v0.1/hansard/entries/1232937/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1232937,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1232937/?format=api",
    "text_counter": 119,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Keiyo North, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Adams Korir",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana, Mhe. Speaker. Swali langu kwa Waziri ni kuhusu uhusiano mwema kati ya maafisa wa misitu na wananchi. Kuna visa vingi ambavyo vinaendelea kama vile wamama kupigwa na vijana kuumizwa. Kwa muda usiozidi miaka saba hivi, tumepoteza vijana watatu. Mwaka jana vijana wawili waliuawa na maafisa wa kulinda misitu. Ni mikakati gani ambayo Wizara imeweka ili maafisa wao wawe na nidhamu? La mwisho ni kuhusu ...."
}