GET /api/v0.1/hansard/entries/1233136/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1233136,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1233136/?format=api",
    "text_counter": 318,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Wundanyi, WDM",
    "speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
    "speaker": null,
    "content": "Ningependa kusema jambo fupi sana. Namshukuru Waziri kwa sababu ameelekeza mambo mazuri sana ya kupigana na utovu wa nidhamu barabarani. Ningependa kusema hivi: Juzi, kumekuwa na ajali mbaya sana kule kwangu Wundanyi ambapo tulipoteza watu 13. Sehemu ile inafahamika kama black spot . Kulijengwa ukuta wa takriban mita moja ili magari yanaposhuka kwa maana ni mteremko, yakigonga, yasiviringe. Ningependa kuomba kwamba katika sehemu ile ukuta mkubwa ujengwe ili gari ikigonga, isiviringe. Pili, sehemu ile ni hatari sana ndiyo sababu tulikuwa tunasema…"
}