GET /api/v0.1/hansard/entries/1233462/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1233462,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1233462/?format=api",
"text_counter": 233,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": "ni usafiri muhimu sana unaotumika katika Taifa nzima. Hakuna mji au kijiji utaenda na kukosa kuona waendeshaji bodaboda katika shughuli zao. Vile vile, bodaboda zimepunguza hali ya uhalifu nchini. Vijana wengine wanatumia bodaboda kutafuta riziki. Pia, zimesaidia kupunguza ukosefu wa ajira. Ingelikuwa hakuna bodaboda, basi kungekuwa na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}