GET /api/v0.1/hansard/entries/1233465/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1233465,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1233465/?format=api",
    "text_counter": 236,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisauni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
    "speaker": {
        "id": 13383,
        "legal_name": "Ali Menza Mbogo",
        "slug": "ali-menza-mbogo"
    },
    "content": "ni sekta muhimu ambayo inapaswa kuboreshwa. Ni kweli kuwa kuna ajali nyingi sana zinazosababishwa na bodaboda . Kama wenzangu walivyosema, katika hospitali nyingi, kuna wodi zilizotengewa watu wa bodaboda tu kwa sababu ni wengi. Hii inasababishwa na kutokuwa na mafunzo ya uendeshaji wa bodaboda hizo. Sekta hii pia inashuhudia umaskini mwingi sana. Maskini wengi sana ndio wanatumia mfumo huu wa usafiri. Wengi wa waendeshaji wanashindwa kwenda kusomea uendeshaji wa"
}