GET /api/v0.1/hansard/entries/1233467/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1233467,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1233467/?format=api",
"text_counter": 238,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": "kwa sababu ya bei ghali ya karo. Tunapaswa kubuni taratibu zinazofanya bei ya karo kuwa tahafifu ili waendeshaji bodaboda waweze kwenda shule na kujua kanuni za barabara. Wengi wanashindwa kwenda kusoma kwa sababu hali ni ngumu. Pia wanatakiwa kupatia wenye bodaboda Ksh500 kwa siku, kwa kila Ksh1,000 wanazopata. Kwa hivyo, tunapaswa kubuni taratibu zitakazofanya bei ya karo iwe tahafifu ili waendeshaji bodaboda wapate mafunzo na ujuzi wa kuendeleza biashara hii."
}