GET /api/v0.1/hansard/entries/1233469/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1233469,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1233469/?format=api",
"text_counter": 240,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": "na tuk-tuk ni muhimu sana. Kwa hivyo, kama Bunge la Taifa, tunapaswa kubuni taratibu za kuwasaidia. Hata serikali za ugatuzi zinapaswa kutoa viegezo vya kujikinga haswa wakati kama huu wa mvua na pia wakati wa jua. Serikali za kaunti pia ziwapatie helmets na pia sehemu za kusafisha helmets hizo. Si tu watu kutumia helmets na koti zile bila kusafishwa. Zinaweza kusababisha maradhi. Ni mambo mengi ambayo tunahitaji kupanga kwa utaratibu ili kukuza sekta hii ili iweze kuwafaidisha watoto na vijana wetu."
}