GET /api/v0.1/hansard/entries/1234311/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1234311,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234311/?format=api",
    "text_counter": 81,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante Bw. Naibu Spika. Hoja yangu ya nidhamu ni kuwa, ni kawaida yetu wageni wanapotutembelea tuwakaribishe. Tuna wajumbe kutoka Murang’a ambao wametutembelea. Kwa sababu Seneta wa kutoka Murang’a hayuko, nimechukua jukumu hilo kama Kamishna."
}