GET /api/v0.1/hansard/entries/1234313/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1234313,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234313/?format=api",
    "text_counter": 83,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Kwa unyenyekevu mwingi na kwa sababu Sen. Joe Nyutu ni Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu. Itakuwa ni kosa, dhambi na laana kwangu mimi kama sitawakaribisha wajumbe hawa wakiongozwa na Naibu wa Spika pamoja na Kiongozi wa walio wengi---"
}