GET /api/v0.1/hansard/entries/1234319/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1234319,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234319/?format=api",
"text_counter": 89,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante Bw. Naibu Spika. Naungana nawe kuwakaribisha wajumbe hawa kutoka Murang’a Kaunti. Ningependa kuwaambia karibuni Seneti. Kwenye Jumba hili mtasoma mengi. Nawatakia kila la heri wakati mko hapa kwa masomo yenu. Vile vile, nataka kuwaambia mlifanya jambo la manufaa zaidi kumchagua Sen. Joe Nyutu. Yeye ni Mwenyekiti wetu wa Kamati ya Elimu. Yeye huongea Kiswahili sanifu katika Bunge hili. Pia ni mtu aliyebobea. Leo hayupo hapa, ameenda katika"
}