GET /api/v0.1/hansard/entries/1234417/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1234417,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234417/?format=api",
"text_counter": 187,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "wananchi. Wanabodaboda wanafanya kazi zao vizuri na wanapaswa kulindwa maana wanalipa ushuru. Ukisikia kaunti ambayo wanabodaboda wameanza kushambuliwa, inatutia kiwewe kwa sababu wataanza na wao, waende kwa watu wa magari na hatimaye watatushambulia sisi."
}