GET /api/v0.1/hansard/entries/1234434/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1234434,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234434/?format=api",
    "text_counter": 204,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "kwamba uwanja ule haukai bure na Kenya Airways pekee yake au ndege mbili au tatu ambazo ni za kukodi zinakuja moja moja kutoka Ulaya. Iwapo ndege hizi zitaruhusiwa, Turkish, Qatar na Emirates zilizokuwa zinakuja, zikiruhusiwa zitasaidia pakubwa kuinua biashara katika ukanda mzima wa Pwani. Ukanda wa pwani unafika hadi sehemu za Kitui na kwengine ambako hamna viwanja kama hivi. Tungependa swala hili liingiliwe kwa undani zaidi kwa sababu hakuna lengo la Kenya Airways kupata hasara kila mwaka kwa sababu hamna ndege nyingine zinatua pale ilhali uwanja ni mkubwa na unaeza kuhimili ndege aina yeyote katika ulimwengu huu. Asante."
}