GET /api/v0.1/hansard/entries/1234443/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1234443,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234443/?format=api",
"text_counter": 213,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kibwana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 277,
"legal_name": "Kibwana Kivutha",
"slug": "kibwana-kivutha"
},
"content": "Asante, Naibu Spika. Ningependa kuunga mkono taarifa ya kukubalia Qatar Airlines haki kama mashirika ya ndege zingine, kutua uwanja wa Kimataifa wa Mombasa. Huu ni mjii mkuu wa pili wa Kenya. Tumeona ndege nyingi kama Condor zilizokuwa zinatoka Ujerumani hadi Mombasa. Qatar italeta mambo ya utalii na itatuwezesha kuinua uchumi wa nchi. Haya ni masikitiko makubwa kama tumeinyima uwezo wa kufika jijini Mombasa. Naunga mkono pia kuwa Mombasa yafaa kupewa kipao mbele kwa upande wa utalii na haki za kuwezesha ndege zingine kufika na kutua katika uwanja wa ndege wa Mombasa. Asante ."
}