GET /api/v0.1/hansard/entries/1234470/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1234470,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234470/?format=api",
"text_counter": 240,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika. Dollar ni kiingereza na dollari ni Kiswahili sanifu. Vile mambo iko hapa Kenya, sijui tumerogwa na nani. Ukizuru nchi nyingine, watu wote wanafanya kazi yao vizuri. Ukiangalia hapa nchini, kampuni kama zile za sukari na Telcom ziko chini. Kampuni ya Telcom Ethiopia imetengeneza billioni mbili, ata Safaricom wamefika huko na wakashindwa kupenya kwenye soko la Ethiopia kwa sababu ile"
}