GET /api/v0.1/hansard/entries/1234472/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1234472,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234472/?format=api",
    "text_counter": 242,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "ya Ethiopia iko na nguvu zaidi. Kutaka ndege za kampuni za nje kutua Mombasa na viwanja vingine vya ndege nchini haitasaidia Kenya Airways. Kenya Airways imefilisika na kukwisha hata wakifanya nini hawataendelea. Jambo nzuri ambalo wanawezafanya kusaidia Kenya Airways---"
}