GET /api/v0.1/hansard/entries/1234699/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1234699,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234699/?format=api",
    "text_counter": 469,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante, Bw. Spika wa Muda. Ninamshukuru dada yangu kwa kunialika niunge mkono Hoja hii. Uongozi wa dini humu nchini unaruhusiwa. Katika maeneo ninayotoka, kuna kanisa la Good News International, ambalo linaongozwa na Pastor Paul Mackenzie Nthenge. Kulingana na sheria zetu za dini, mtu yeyote anaweza kujiunga na kanisa lolote analotaka na kuomba Mwenyezi Mungu. Hivi majuzi tumepoteza zaidi ya watu 86. Hawa"
}