GET /api/v0.1/hansard/entries/1234701/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1234701,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234701/?format=api",
"text_counter": 471,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "watu wamekufa wakiwa Kaunti ya Kilifi. Ni jambo la kusikitisha ya kwamba Wakenya wanapoteza maisha yao kwa sababu ya kiongozi wa dini. Jambo la kusikitisha ni kwamba, tulipoanza ugatuzi, tulikosea zaidi kwa kutomuweka gavana kwenye Kamati ya Usalama. Pastor Mackenzie amekuwa Kaunti ya Kilifi kwa zaidi ya miaka 16."
}