GET /api/v0.1/hansard/entries/1234702/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1234702,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234702/?format=api",
"text_counter": 472,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Hii dini yake imekuwa ikiendelea ndani ya Kaunti ya Kilifi zaidi ya miaka 16. Mtu huyu anajulikana sana na amekuwa akizunguka kila mahali. Lakini, juzi vilivyogonga vichwa vya habari ni kwamba alianza na msimu wake ya kwamba watoto wasifanye mitihani. Na security inaona. Baadaye, watu walipopiga kelele, akashikwa akapelekwa kortini, akaachiliwa kwa dhamana ya Kshs10,000. Akaja tena akashikwa kwa sababu alisema sio kufanya mtihani peke yake lakini, pia watu waanze mambo ya"
}