GET /api/v0.1/hansard/entries/1234704/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1234704,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234704/?format=api",
"text_counter": 474,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, utakuja kuona kufikia wiki zilizokwisha, alianza kwa kuwakataza watu wasile chakula au kunywa maji ama kujisaidia kwa njia yoyote kwa sababu dini yake inasema ukienda huko, unaenda kukutana na Yesu."
}