GET /api/v0.1/hansard/entries/1234705/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1234705,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234705/?format=api",
"text_counter": 475,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Kuna mashirika tofauti ya kuangalia vitengo vya sheria. Kufikia hivi sasa, kuno vitengo vya Directorate of Criminal Investigations (DCI), vile vya ujasusi, kunao machifu, County Commanders, wale wa polisi na kaunti Kamishna, ambaye anaketi katika mambo ya security. Ninataka kuuliza kitu kimoja, je, kitendo kama hiki kilipokuwa kikitendeka, watu hawa walikuweko? Wanajua hiyo? Na kama wanajua, ni hatua gani walichukua?"
}