GET /api/v0.1/hansard/entries/1234708/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1234708,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234708/?format=api",
    "text_counter": 478,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Wale waliokuweko miaka 16 iliyokwisha ndani ya Kauti ya Kilifi lazima wajukumike. Kama huyo mtu alianza dini miaka 16 iliyokwisha, basi Makaunti Kamishna wote ambao walikuwa huko, lazima waitwe na kuhojiwa. Kama walimwona mchungaji Ezekiel Nthenge akianzisha shirika lake la hili kanisa, ni hatua gani ambayo ilichukuliwa?"
}