GET /api/v0.1/hansard/entries/1234709/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1234709,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234709/?format=api",
    "text_counter": 479,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Mimi ninatoka katika eneo hili na ningependelea unisaidie uniongeze dakika fulani niweze kueleza kwa sababu niko na uchungu sana. Watu wangu wamekufa. Ni lazima taifa liweze kujua kuwa tunaongea juu ya mambo ya Shakahola. Ninataka uniongeze dakika tatu au nne ili niweze kumaliza."
}