GET /api/v0.1/hansard/entries/1234711/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1234711,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234711/?format=api",
    "text_counter": 481,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante, ndugu yangu. Ni jambo la kusikitisha kuona ya kwamba hakuna hata Kaunti security team yoyote ama Kamati ambayo ilikuwa inawezakugundua hii. Swala la kujiuliza ni kwamba, huyu Kaunti Kamishna na security team yake ikiongozwa na police commander, na ofisa mkubwa wa DCI, walikuwa wapi ilhali wanaishi na sisi kila siku kwenye mitaa na kupokea mishahara yao kila siku? Lakini, wakisikia kuna maandamano, wanajua kila kitu mpaka wanatuambia ‘kesho tutatengeneza ma bomb tuweke. Lakini, hawajui saa ya watu kufa. Kifo cha mtu sio kwamba hujui ama umeharibu."
}