GET /api/v0.1/hansard/entries/1234713/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1234713,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234713/?format=api",
"text_counter": 483,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Tuchukue mambo kwa uzito unaofaa . Watu wamepoteza maisha yao. Watu wametoka sehemu mbalimbali kuja kutafuta wapendwa wao. Yaliyotendeka yote kumi, la kumi na moja ni kwamba kulikuwa na utepetevu wa mambo ya usalama. Watu waliotakikana kuangalia mambo haya ni Kaunti Commander, Kaunti Kamishna na waliokuwa katika Kitengo cha Ujasusi la DCI. Vilevile, tuko na machifu, wazee wa mitaa, wazee wa nyumba kumi. Kwa hivyo, mambo yetu ya usalama lazima yazingatiwe zaidi."
}