GET /api/v0.1/hansard/entries/1234714/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1234714,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234714/?format=api",
"text_counter": 484,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Ninajua hata Rais mwenyewe ameweza kutamka akisema huyu mtu ni terrorist. Kwa hiyo, ninamwomba afute kazi Kamishna ambaye anaketi kama Chairman wa Kamati ya National Security and Foreign Relations akifuatiwa na Kamanda wa polisi, DCI na wale wako chini wanaohusika mpaka kwenye vijiji. Wasiwe katika kazi zao. Huwezi kupata kitu kama hiki ambacho kinauwa watu na wewe usichukue hatua yeyote."
}