GET /api/v0.1/hansard/entries/1235476/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1235476,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1235476/?format=api",
"text_counter": 187,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13586,
"legal_name": "Alexander Mundigi Munyi",
"slug": "alexander-mundigi-munyi"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Ninaomba Kamati ikichaguliwa, tuwe pia tukihusishwa kwa sababu baadaye maswali tutaijibu hayo. Kwa sababu imekuwa ni siasa wakichagua, MP na County Commissioner (DCC). Unakumbuka yale mambo yalikuwa Mbeere South. Wakati niligundua ule ukora walikuwa wanataka kufanya, ilibidi tukuhusishe na ukapeleka jina."
}