GET /api/v0.1/hansard/entries/1235484/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1235484,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1235484/?format=api",
    "text_counter": 195,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Cabinet Secretary for Lands, Public Works, Housing and Urban Development",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "viongozi wote wakati wanapobuni ama kuunda kamati zile ndivyo kila sekta iweze kuhusishwa. Kwa hivyo, labda haitawezekana kila kiongozi aweze kuleta watu wake. Lakini, ni vizuri kuhusika katika kamati zile ili wananchi wote waweze kuwakilishwa vilivyo. Kwa hivyo, hilo ni jambo tutasisitiza na DCCs wakati wanapobuni zile kamati waweze kukaa pamoja na viongozi wa kila sub-county ili kamati inayoundwa ihusishe kila mmoja."
}