GET /api/v0.1/hansard/entries/1235904/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1235904,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1235904/?format=api",
"text_counter": 240,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Pia, kuna rufaa nyingine ya lazima, ambayo ni kifo. Msiisahau hiyo. Hilo ni tatizo maanake kifo kinasikitisha. Executive Order ilitolewa kusema kuwa mgonjwa akifariki hospitalini, maiti isizuiliwe. Lakini utaona tunaitwa kama Wabunge kuchangia mambo haya. Inakuwa procedure ndefu mpaka watu wanaambiwa watafute title deeds na vitu vingine. Mgonjwa anapofariki, ashapata rufaa ya lazima. Hakuna haja ya kuweka maiti pale. Hospitali ni ya umma kisha unazuilia maiti hiyo mpaka watu wao wafanye Harambee na michango ili walipe. Mtilie maanani rufaa hiyo ya lazima katika sheria hiyo."
}