GET /api/v0.1/hansard/entries/1236164/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1236164,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236164/?format=api",
"text_counter": 242,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kilifi County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Gertrude Mwanyanje",
"speaker": null,
"content": " Hoja hii inagusa Wakenya wote. Mhubiri Mackenzie amekua Kilifi karibu miaka kumi sasa. Mimi nashangazwa na Mhe. Owen. Mhubiri Mackenzie alikuja Kilifi wakati Mhe. Owen akiwa Katibu wa Serikali ya Kaunti ya Kilifi. Mackenzie akapigwa vita na Mhe. Aisha Jumwa. Leo Mhe. Owen analeta hii Hoja tuizungumzie hapa wakati watu wetu wamekufa na kuzikwa kwa makaburi. Mhe. Owen hajachukua hatua ya kuenda Shakahola kuona kinachoendelea kule. Nasikia aibu sana akileta Hoja kwa Bunge ilhali watu wanafukuliwa kule na hajakanyaga kule kama kiongozi wa serikali iliyo mamlakani."
}