GET /api/v0.1/hansard/entries/1236258/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1236258,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236258/?format=api",
    "text_counter": 336,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Malindi, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Amina Mnyazi",
    "speaker": null,
    "content": "Kuna dada mwingine, muhudumu wa ndege, ambaye aliacha kazi yake. Ni mwanamke aliyekuwa na pesa zake na kazi yake. Aliacha kazi yake, akauza kila kitu na kupeleka pesa zake zote kwa mchungaji. Hili ni jambo la kusikitisha."
}