GET /api/v0.1/hansard/entries/1236281/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1236281,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236281/?format=api",
"text_counter": 359,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matuga, ANC",
"speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
"speaker": null,
"content": "Nikimalizia, Bishop, sitamalizia bila kuzungumzia yesu wa Tongaren ambaye yuko huko kwako. Huyu bwana anajiita Yesu na mnamkubali kule, naye ana itikadi kama hizi. Je, tunangojea watu waanze kufa ndio tulaumu Serikali na machifu? Suluhisho ni kwamba Serikali iweze kuorodhesha makanisa na dini zote."
}