GET /api/v0.1/hansard/entries/1236407/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1236407,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236407/?format=api",
    "text_counter": 76,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante Mheshimiwa Spika. Nimesimama kwa mujibu wa Kanuni ya Kudumu ya 53(1), kuomba Kauli kutoka kwa Kamati ya Kudumu ya Barabara, Uchukuzi na Makao, kuhusu kusimama kwa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa Barclays Mombasa hadi makutano ya Jomvu, barabara ya Magongo hadi makutano ya Jomvu na barabara ya makutano ya Jomvu hadi Standard Gauge Railway (SGR), katika Kaunti ya Mombasa. Katika taarifa hiyo, Kamati iangazie yafuatayo-"
}