GET /api/v0.1/hansard/entries/1236409/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1236409,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236409/?format=api",
"text_counter": 78,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "(2) Iwapo Kenya National Highways Authority (KENHA) inatambua kwamba kutokamilika kwa barabara hizo, imekuwa kero kwa wahudumu wa usafiri na wananchi kwa jumla katika maeneo hayo. (3) Ibaini ni hatua gani Kenya National Highways Authority (KENHA) itachukua dhidi ya wanakandarasi hao, walioondoka kwenye maeneo ya kazi bila kukamilisha mradi huo, ikizingatiwa kwamba hasara kubwa zinazokadiriwa na kampuni za uchukuzi, kwa kuharibika kwa magari yao kutokana na ubovu wa barabara hiyo. Mheshimiwa Spika, jumamosi iliyopita, wasafiri wengi waliokuwa wanakwenda"
}