GET /api/v0.1/hansard/entries/1236411/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1236411,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236411/?format=api",
"text_counter": 80,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "walichelewa kwa sababu barabara ya kutoka Barclays mpaka Jomvu, maeneo ya Kibarani ilifurika, kusababisha magari kutoweza kupita. Wengi waliokuwa wanasafari kuelekea SGR na Airport walitatizwa na mvua kubwa iliyosababisha maji mengi kwenye barabara hiyo. Asante, Mheshimiwa Spika"
}