GET /api/v0.1/hansard/entries/1236493/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1236493,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236493/?format=api",
"text_counter": 162,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "t ya Sen. Chererkey. Hata sisi pale Mombasa tuko na hospitali kubwa ya CoastGeneral Referral Hospital (CGRH), ambayo katika mapendekezo ya County InteregratedDevelopmet Plan (CIDP) pale Mombasa, tumesikia ya kwamba Gavana anataka kutoza ushuru ingawaje hajajieleza. Hii ni kwa sababu amesema ile hospitali inafanya kazi nyingi na inatumia pesa za watoza ushuru wa Mombasa ndiposa anataka kuleta huo ushuru mpya. Japokuwa, hajasema atautoza kwa county governments ama national Government. Ningependa kuchangia ya kwamba, CGRH inasaidia counties kama Lamu na hata zile za Ukumbani. Watu wengi huletwa kule. Kuna shida ya masuala ya madawa kwa sababu mtu akifika hospitalini, dawa kama Panadol inakuwa changamoto. Tungetaka kujua mbona wangonjwa wote ambao wanakwenda kwenye hosipitali za serikali lazima watoke nje, tena wanapewa directions na madaktari waende kwa"
}