GET /api/v0.1/hansard/entries/1236529/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1236529,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236529/?format=api",
    "text_counter": 198,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Ni ukweli sheria alizozitaja ni zile ambazo zinapaswa kurekebishwa. Nashukuru kamati hiyo kwa kazi nzuri walioifanya wakiongozwa na Sen. Abbas na naibu wake. Ni vizuri maana hiyo kamati haijaketi tu bali pia wameangalia kile ambacho kinaleta uzuizi katika gatuzi zetu. Sheria hizi zikibadilishwa, ugatuzi utaendelea vizuri. Kazi kubwa ya Seneti hii ni kufanya gatuzi zetu ziendelee kua na nguvu na kunawiri. Nimesimama kuunga mkono na kuwapongeza kamati hiyo kwa juhudi zao nzuri. Kamati zile zingine zikifanya hivyo, Seneti itakua katika kipao mbele kunawirisha gatuzi zetu. Asante na napongeza hiyo kamati."
}